Featured Post

WANAWAKE WAJASIRIAMALI WAKOPESHWA SH63.5 BILIONI

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akiangalia kitabu cha Muongozo wa Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati alipotembelea banda la Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii na Taasisi zake katika Viwanja vya Nyakabindi Simiyu.

Na Mwandishi Wetu, Simiyu

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kipindi cha kati ya mwaka 2015 mpaka 2020 imetoa mikopo yanye thamani ya shilingi Bilioni 63.5 ikiwa ni sehemu ya huduma za Wizara kwa jamii.

SOMA ZAIDI

Comments