Featured Post

TEKNOLOJIA ZABADILI TASWIRA YA MAONESHO YA NANE NANE


Na Daniel Mbega, Bariadi

Ubunifu na teknolojia mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa katika kuendeleza Sekta ya Kilimo zimebadili taswira ya Maonesho ya Kilimo na Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane mwaka 2020, ambayo sasa yamekuwa sehemu ya mafunzo, furs ana kubadilisha mwelekeo wa sekta hiyo.

SOMA ZAIDI


Comments