Featured Post

SH13.8 TRILIONI ZA ASDP II ZAPAISHA KILIMO NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya, akiangalia zao la pamba wilayani Chato huku akiwa na Mbunge wa Jimbo hilo, ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani.

Kilimo cha Umwagiliaji ndicho mkombozi mkubwa wa uchumi, kwa sababu ni cha uhakika.

Na Daniel Mbega, Dar es Salaam

TAKRIBAN Sh13,819,077,626,470 (sawa na Dola za Marekani 5,979,000,000) zilizotengwa na Serikali kwa ajili ya awamu ya pili ya Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Kilimo (ASDP II) zimesaidia kukuza uchumi na kuifanya Tanzania siyo tu kujitosheleza kwachakula, bali kulisha viwanda vya ndani kwa kuzalisha malighafi za kutosha.

SOMA ZAIDI

Comments