- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Bunda mjini wakati akiwa njiani
kuelekea Musoma mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
kwa njia ya Simu kuhusu mgogoro wa ardhi uliopelekea Bibi Nyasasi Masige mwenye
kilemba aliyekaa kudai kunyang’anywa
Kiwanja chake Wilayani Bunda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimkabidhi Bibi Nyasasi Masige kiasi cha Shilingi laki tano ili
zimsaidie mara baada ya kusikiliza kero yake ya madai ya kunyanga’nywa kiwanja
chake. Rais Dkt. Magufuli ameagiza uchunguzi ufanyike haraka ili haki ya bibi
huyo iweze kupatikana. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment