- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI SAMAKI KWENYE MABWAWA NA VIZIMBA MKOANI MARA SEPTEMBA 6,2018
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kukata utepe
kuashira uzinduzi rasmi wa Mabwawa 9 na Vizimba vya kufugia samaki aina ya Sato
katika Kambi ya Jeshi YA 27 KJ Makoko mkoani Mara. Wengine ni Waziri wa Mifugo
na Uvuvi Luaga Mpina, Katibu mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa
Dkt. Frolence Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima, Mkuu wa majeshi Jenerali
Venance Mabeyo, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt. Modestus
Kimbilimba. Septemba 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kuashira uzinduzi rasmi wa
Mabwawa 9 na Vizimba vya kufugia samaki aina ya Sato katika Kambi ya Jeshi YA
27 KJ Makoko Mkoani Mara. Wengine ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga
Mpina, Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Dkt. Frolence
Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, Mkuu wa majeshi Jenerali Venance
Mabeyo, Mkurugenzi mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus
Kimbilimba. Septemba 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Mkuu wa mkoa wa Mara Adam Malima mara baada ya kukata kuzindua rasmi mradi wa
ufugaji wa Samaki wa kwenye mabwawa katika kambi ya Jeshi 27KJ Makoko Musoma
Mkoani Mara. Septemba 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mradi wa ufugaji wa
Samaki wa kwenye mabwawa wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa mradi huo katika
kambi ya Jeshi 27KJ Makoko Musoma Mkoani Mara. Septemba 6, 2018.
Askari wa Jeshi la kujenga Taifa wakiwawekea
samaki chakula katika Mabwawa ya kufugia samaki hao wakati wa hafla ya uzinduzi
rasmi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika kambi ya Jeshi 27KJ Makoko Musoma Mkoani Mara. Septemba 6, 2018.
Askari wa Jeshi la kujenga Taifa wakiwvua samaki katika Mabwawa ya
kufugia samaki hao wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi uliofanywa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kambi ya Jeshi
27KJ Makoko Musoma Mkoani Mara. Septemba 6 ,2018.
Comments
Post a Comment