- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA MAKUTANO-NYAMUSWA-SANZATE –NATA-IKOMA GATE KM 135 SEHEMU YA MAKUTANO-SANZATE 50KM, BUTIAMA MKOANI MARA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Mama Maria
Nyerere mke wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuweka jiwe la msingi
mradi wa ujenzi wa Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km
135 katika sehemu ya Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika
Butiama mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Maria Nyerere mke
wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara bada ya kuweka jiwe la msingi
mradi wa ujenzi wa Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km
135 katika sehemu ya Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika
Butiama mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba na kucheza pamoja na
vijana wa Kambi ya JKT Rwamkoma iliyopo
mkoani Mara mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara ya
Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km 135 katika sehemu ya
Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika Butiama mkoani Mara.
Kikundi cha ngoma za asili cha
Engubha cha kabila la wakabwa wenyeji wa Butiama mkoani Mara kikitumbuzia
katika sherehe hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Butiama(hawaonekani pichani) kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa
Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km 135 katika sehemu ya
Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika Butiama mkoani Mara.
Mzee Joseph Butiku akiwa amekaa
na Mwanasiasa mklongwe Stephen Wassira pamoja na viogozi wengine wakifatilia
kwa makini hotuba ya Rais Dkt. Magufuli katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe
la msingi Butiama mkoani Mara. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment