- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA NYAMUSWA-BUNDA-KISORYA-NANSIO KM 121 SEHEMU YA BULAMBA –KISORYA KM 51 PIA AHUTUBIA WANANCHI WA NANSIO UKEREWE MKOANI MWANZA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Isaack Kamwelwe kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio
km 121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe
zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa ameshika mkasi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Isaack Kamwelwe wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika
katika ujenzi wa barabara Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121
katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika
Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisorya kabla ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi
wa Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km 121 katika sehemu ya Barabara
ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani
Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako ili
kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Ualimu Murutunguru kilichopo Nasio
Ukerewe mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa wakati
akipokuwa akisikiliza maelezo ya mradi wa maji wa Nansio Ukerewe mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ukerewe mara baada ya kuwasili
akitokea Kisorya mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima kabla ya kuweka
jiwe la msingi ujenzi wa barabara Barabara ya Nyamuswa-Bunda-Kisorya-Nansio km
121 katika sehemu ya Barabara ya Bulamba Kisorya km 51 katika sherehe
zilizofanyika Kisorya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa wakati
akitoka kukagua pampu za kusukuma maji katika mradi wa maji uliopo Nansio Ukerewe
mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Nansio hawaonekani pichani katika eneo la
chuo cha Ualimu cha Murutunguru kilichopo Nasio Ukerewe mkoani Mwanza. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment