- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wananchi wa Mugumu katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Ngoma za asili kutoka Mugumu Serengeti mkoani Mara zikitumbuiza
katika viwanja vya Mugumu mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika viwanja hivyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment