Featured Post

RC TABORA AWAONYA WAVAMIZI WA ARDHI MAENEO YA SERIKALI


Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora leo Jumatano Agosti 29, 2018.

Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick Kitwala akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora leo Jumatano Agosti 29, 2018.
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kizigo Kata ya Ng’ambo mkoani Tabora, Bw. Said Thabit Mnwagi  akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kulia),wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora leo Jumatano Agosti 29, 2018. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Komanya Erick Kitwala na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora  Joseph Kashushura.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukubi wa  ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo leo Jumatano Agosti 29, 2018. (Picha na Frank Shija – MAELEZO, Tabora)

Comments