Featured Post

KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dustan Kitandula akisikiliza hoja za wajumbe katika kikao cha Kamati hiyo leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea taarifa ya Wizara ya Nishati kuhusu maendeleo na changamoto za uendelezaji wa migodi ya makaa ya mawe nchini na taarifa kuhusu uwekezaji katika madini ya kimkakati.

Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu akiwa na watendaji wake katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Nishati kilichofanyika leo Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea taarifa ya wizara hiyo kuhusu maendeleo na changamoto za uendelezaji wa migodi ya makaa ya mawe nchini na taarifa kuhusu uwekezaji katika madini ya kimkakati.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilikutana na watendaji wa Wizara ya Niishati wakiongozwa na Naibu Waziri, Mhe. Subira Mgalu.

Comments