Featured Post

VIDEO: TUKAJIFUNZE TEKNOLOJIA ZA ISRAEL - HII NDIYO MIUJIZA YA KWELI YA KILIMO ...



Israel imepiga hatua kubwa sana katika teknolojia ya kilimo na imeweza kuligeuza jangwa kuwa eneo lenye rutuba kiasi cha kuzalisha bidhaa bora zaidi barani Ulaya.
Tunaweza kujifunza teknolojia hii kwa kwenda Israel - kupitia video hizi.

Comments