Featured Post

WAZIRI WA FEDHA AKIWASILI BUNGENI KUSOMA BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2018/19

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Viwanja vya  Bunge kwa ajili ya kusoma Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/19 Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE

Comments