Featured Post

RAIS DK.SHEIN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA MJINI ZANZIBAR LEO

DSC_7966
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kilichofanyika leo.

DSC_7985
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja leo
DSC_8029
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) leokatika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,
DSC_8047
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (kulia) wakiimba Wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Mkutano   wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo
DSC_8113
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mkutano   wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja (kulia kwa Rais)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala,
DSC_8136
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mkutano   wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala
Picha na Ikulu.

Comments