Featured Post

KANDA YA KUSINI YAHAMASISHA WANANCHI ULIPAJI KODI YA PANGO LA ARDHI

PICHA NA. 1
Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya kusini; Gaspar Luanda akiongea na waandishi wa habari akiwa ameambatana na Maafisa Mipango Miji wa Mkoa katika ofisi za kanda yake – Mtwara wakati wa Mkutano na waandishi hao kuhusu umuhimu wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi.

PICHA NA. 2
Waandishi wa habari mkoani Mtwara, wakifuatilia kwa makini maelezo ya Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya kusini; Gaspar Luanda alipokuwa anaongea nao kuhusu Mmiliki wa Ardhi na umuhimu wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi.
PICHA NA.3
Burudani ya Sarakasi ikiendelea na uhamasishaji wa Kodi ya Pango la Ardhi katika eneo la Magomeni mkoani Mtwara, ambapo Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya Kati, Gaspar Luanda na Afisa Ardhi, Patrick Mpangala walipokuwa wakitoa elimu ya ulipaji Kodi ya Ardhi katika maeneo mbalimbali – Mtwara (hawapo pichani).
PICHA NA. 4
Afisa Ardhi Mteule, mkoani Lindi; Andrew Munisi  akisisitizia jambo wakati akizungumza na wananchi wa eneo la Pili pili katika uhamasishaji wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi
PICHA NA. 5
Burudani ya Sarakasi ikiendelea na uhamasishaji wa Kodi ya Pango la Ardhi katika eneo la Kivukoni mkoani Lindi, ambapo Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya Kati, Gaspar Luanda na Afisa Ardhi Mteule; Andrew Munisi walipokuwa wakitoa elimu ya ulipaji Kodi ya Ardhi katika maeneo mbalimbali – Lindi (hawapo pichani).
PICHA NA.6
Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya Kati, Gaspar Luanda na Afisa Ardhi Mteule; Andrew Munisi wakihamasisha ulipaji Kodi ya Pango la Ardhi, mkoani Lindi kwa  kutoa elimu hiyo kwa njia ya Radio, katika Lindi Radio FM (88.1)
Picha na Mboza Lwandiko, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Comments