Featured Post

MATEMBEZI YA HISANI YA WANAFUNZI ST. JOSEPH'S NURSERY NA PRIMARY SCHOOLS DAR YAFANA

Sehemu ya wananfunzi wakianza maandamano kwenye matembezi hisani kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuwasaidia wanafunzi wenye ulemavu na wasio na uwezo wa kulipia gharama za masomo kwa shule ya Awali na Msingi ya Mt. Joseph's yaliyoanzia Shoppers Plaza Mbezi Beach Dar es Salaam na kumalizikia shuleni kwao  kando ya Bara ya Bagamoyo jijini humo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

Sehemu ya wananfunzi wakishiriki matembezi hayo yaliyoanzia Shoppers Plaza Mbezi Beach Dar es Salaam na kumalizikia shuleni kwao  kando ya Bara ya Bagamoyo jijini humo.
Sehemu ya wananfunzi wakiimba kwa hamasa wakashiriki matembezi hayo yaliyoanzia Shoppers Plaza Mbezi Beach Dar es Salaam na kumalizikia shuleni kwao  kando ya Bara ya Bagamoyo jijini humo. 
Sehemu ya wananfunzi wakishiriki matembezi hayo yaliyoanzia Shoppers Plaza Mbezi Beach Dar es Salaam na kumalizikia shuleni kwao kando ya Bara ya Bagamoyo jijini humo.
Watembeaji wakifanya mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi hayo

Sehemu ya wananfunzi walioshiriki matembezi hayo wakifuatilia matukio katika hitisho la matembezi hayo.

Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Bodi ya St. Joseph's Nursery na Primary Schools, Christa Rweyemamu akitambulishwa kwa wageni walihoshiriki matembezi hayo.  

Watembeaji wakifanya mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi hayo

Sehemu ya wananfunzi walioshiriki matembezi hayo wakifuatilia matukio katika hitisho la matembezi hayo. 
Sehemu ya wanafunzi wakicheza 'Kwaitoo' kuburudisha wageni  baada ya kumaliza matembezi hayo.

Comments