Featured Post

MABULA: TUNZENI MAJALADA YA ARDHI KWA KUFUATA TARATIBU

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa halmashauri za Tarime mkoa wa Mara wakati wa ziara yake mkoa wa Mara.

Baadhi ya watumishi wa halamashauri ya Tarime wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Baadhi ya Maofisa wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutoka Kanda ya Ziwa, Wizarani whauri ya Tarime na Naibu Waziri Angelina Mabula.
Baadhi ya watumishi wa halmashauri wakiwa katika mkutano.
Mkuu wa wilaya ya Tarime Grorious Luoga akizungumza wakati wa mkutano kati ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula na watumishi wa halmashauri ya Tarime.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akieleza namna bora ya kuhifadhi majalada ya hati za ardhi katika halmashauri ya Tarime mkoa wa Mara wakati za ziara yake mkoani humo.
Baadhi ya watumishi wakiwa katika kikao.(PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI-WANMM)


Comments