Featured Post

WAZIRI UMMY, MAKAMBA WASHUHUDIA MECHI BAINA YA COASTAL UNION NA POLISI DAR ZIKITOKA SARE YA 1-1

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano  January Makamba akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano  January Makamba kulia akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.kushoto ni Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union Steven Mguto
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika akishiriki kwenye uhamasishaji wa nyimbo wakati timu ya Coastal Union ilipocheza na Polisi Dar kwenye mchezo uliomalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akitokea kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano  January Makamba akizungumza na timu zote mbili kabla ya kuanza mchezo huo leo
 Waachezaji wa timu zote mbili wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo huo
 Kikosi cha timu ya Coastal Union ambacho kimeanza dhidi ya Polisi dar leo
 Kikosi cha timu ya Polisi Dar ambacho kimecheza dhidi ya Coastal Union leo
 Mchezaji wa timu ya Coastal Union kushoto akiwani mpira dhidi ya wa Polisi Dar katika mchezo wa Ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

Comments