- Get link
- Other Apps
Featured Post
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AAGANA NA GAVANA WA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) ANAYEMALIZA MUDA WAKE PROF. BENNO NDULU PAMOJA NA KUKUTANA NA GAVANA MTEULE WA (BOT) PROF. FLORENS LUOGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- Other Apps
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake
Profesa Benno Ndulu mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana
mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens
Luoga mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga wa kwanza (kushoto) pamoja na Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu wa kwanza
(kulia) mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wanahabari kuhusu masuala mbalimbali ya kifedha. Kushoto ni Gavana Mteule wa
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga pamoja na Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Gavana
Mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga akipongezana na
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU
Comments
Post a Comment