- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI,MALIASILI NA MAZINGIRA YAVUTIWA NA UBUNIFU WA SHUGHULI ZA KITALII HIFADHI YA TAIFA YA ZIWA MANYARA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
![]() |
Meneja Ujirani Mwema wa Tanapa,Hemed Mbugi akitembea juu ya
daraja linalo ‘bembea’ ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje na ndani.
|
![]() |
| Mbunge wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi akifurahia daraja linalo ‘bembea’ ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje ya nchi na ndani. |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Kemilembe Lwota akitembea juu ya daraja hilo. |
![]() |
| Meneja Mawasiliano wa Tanapa,Pascal Shelutete naye hakua nyuma kutembea juu ya daraja hilo ambalo limeongeza shughuli za utalii kwenye hifadhi hiyo. |
![]() |
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Mazingira wakiwa juu ya daraja maalumu lililojengwa kuwawezesha watalii kuwaona
wanyama aina ya Viboko na aina mbalimbali za ndege.
|
![]() |
| Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga akifurahia mandhari ya daraja linalomwezesha mtalii kuona vizuri eneo la Ziwa Manyara. |









Comments
Post a Comment