Featured Post

WASHINDI WA TIGO FIESTA SUPANYOTA 2017 NJOMBE



Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Diana Matimbwa wa Njombe akiimba kwa hisia wakati wa mashindano hayo mwishoni wa juma lililopita.


Mashabiki wakimnyanyua Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Tigama Chanika kutoka Makambako  


Tigama Chanika kutoka Makambako  na Diana Matimbwa  wa Njombe  wamaeibuka washindi namba moja kati ya wasanii watano walio ingia kwenye mchuano wa kutafuta mshindi na wamefungana kwa viwango vilivyo pelekea wote waingie namba 1 bora Supanyota fiesta 2017 Njombe.

Comments