....

Featured Content Slider

..

..

Featured Post

KILIMO BORA CHA MIPAPAI

Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini Utangulizi: Mipapai ni moja ya miti ya matunda inayolimwa ulimwenguni kote na hapa Tanzania, ...

Tuesday, August 1, 2017

UCHAGUZI MKUU TAFCA AGOSTI 10, 2017


Uchahuzi Mkuu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA utafanyika Agosti 10, mwaka huu mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Ramadhani Mambosasa, ametangaza orodha ya majina sita ya mwisho ya wagombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi huo.
Kwa mujibu wa Mambosasa, wagombea hao kwa sasa hawana budi kuendelea na kampeni hadi Agosti 9, mwaka huu.
Waliopitishwa katika orodha ya mwisho kuwania nafasi mbalimbali za uongozi - ngazi ya taifa ni pamoja na Kidao Wilfred, Lister Manyara, Michael Bundala, Dismas Haonga, Jamhuri Kihwelo, George Komba, Samuel Moja na Maka Mwalwasi na Mohammed Tajdin.
Nafasi zinazowaniwa ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Katibu Msaidizi, Mweka Hazina, Wajumbe wa Mkutano Mkuu TFF na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

No comments:

Post a Comment

Newsletter

Services