- Get link
- Other Apps
Featured Post
RAIS MSTAAFU AWAMU YA PILI ALI HASSAN MWINYI AWAASA MADEREVA KUZINGATIA SHERIA ZA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI
Posted by
Unknown
on
- Get link
- Other Apps
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,
Ali Hassan Mwinyi, akisikiliza maelezo kutoka kwa Inspekta Ibrahim Samwix,
wakati alipotembelea mabanda mbalimbali kwenye Tamasha la Usalama Barabarani
lililofanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,
Ali Hassan Mwinyi (aliyevaa suti), akisikiliza maelezo jinsi uvunjaji wa sheria
za usalama barabarani unavyoweza kusababisha ajali, wakati alipotembelea banda
la Maaskari wa usalama barabarani, kwenye Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika
jana Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi
Hamad Masauni (kushoto), akimkabidhi tuzo Mgeni Rasmi, Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika jana
Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi
Kamishna wa Operesheni na
Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani (kushoto), akipokea zawadi kutoka
kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi
Hamad Masauni kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi
la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kwa kutambua mchango wake katika suala nzima
la Usalama Barabarani wakati wa Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika
jana, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili, Ali Hassan Mwinyi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi wa Usalama Barabarani,
Samira Abuu (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi, Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,Mhandisi
Hamad Masauni, baada ya kupokea cheti cha kutambua mchango wake katika masuala
ya Usalama Barabarani wakati wa Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika jana, Uwanja wa
Uhuru, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mgeni Rasmi,Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, akizungumza wakati wa Tamasha la Usalama
Barabarani ambapo aliwaasa watumiaji wa vyombo vya moto kufuata sheria za
usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazosababisha ulemavu na vifo.Tamasha
hilo limefanyika jana, Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA
MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Comments
Post a Comment