MBUNGE WA KIBAHA MJINI KOKA, AIKABIDHI SERIKALI VIFAA VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA SH.MILIONI 400

NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala (wa tano kushoto) akipokea karatasi yenye orodha ya Vifaa vya kutolea huduma za Afya kutoka kwa Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvestry Koka (kushoto kwake) wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo vyenye thamani zaidi ya Sh. milioni 400 iliyofanyika kwenye Kituo cha Afya Mkoani, mjini Kibaha, jana. Kulia kwa Waziri ni MKuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumta Mshama. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala (wa tatu kulia) Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvestry Koka (kulia kwake) Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumta Mshama (wa pili kulia) na baadhi ya waganga wa Kituo cha Afya cha Mkoani Kibaha, wakikagua badhi ya Vitanda vya wagonjwa, baada ya makabidhiano ya vifaa hivyo vya kutolea huduma kwa wagonjwa vyenye thamani zaidi ya Sh. milioni 400. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Kituo cha Afya Mkoani, mjini Kibaha, jana. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala (wa pili kushoto) Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvestry Koka (kushoto kwake) Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumta Mshama (kushoto) wakikabidhi karatasi ya orodha ya vifaa vya kuhudumia wagonjwa kwa Madaktari wa Kituo cha Afya cha Mkoani mjini Kibaha, jana wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 400. (Picha na Muhidin SUfiani)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, akikagua sehemu ya vifaa hivyo wakati akikabidhiwa na Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvestry Koka (kulia kwake). (Picha na Muhidin Sufiani)
Mbunge wa Kibaha mjini, Silyvestry Koka, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa vya kutolea huduma za Afya, iliyofanyika kwenye Kituo cha Afya cha Mkoani mjini Kibaha, jana. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mjini, Asumta Mshama. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, akiimba wimbo maalumu kwa pamoja na Mkuu wa Wilaya Asumta Mshama (kulia), Mbunge wa Kibaha mjini, Silyvestry Koka, alipokuwa akizungumza na wananchi wa mji wa Kibaha, Wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Mkoani (hawapo pichani) wakati wa hafla ya makabidhiano ya Vifaa vya kutolea huduma za afya kituoni hapo, jana. (Picha na Muhidin Sufia)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mfanyakazi wa Chumba cha Maabala cha Kituo cha Afya Mkoani, Farida Chagulaga, wakati waziri huyo alipotembelea chumba hicho na kukagua taratibu za ufanyaji kazi, alipofika kwa ajili ya kukabidhi vifaa vya kutolea huduma za afya jana. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mfanyakazi wa Chumba cha Maabala cha Kituo cha Afya Mkoani, Farida Chagulaga, wakati waziri huyo alipotembelea chumba hicho na kukagua taratibu za ufanyaji kazi, alipofika kwa ajili ya kukabidhi vifaa vya kutolea huduma za afya jana. (Picha na Muhidin Sufiani)
 
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, Mbunge wa Kibaha Mjini, Silyvestry Koka, wakitoka kutembelea katika Wodi ya Wazazi, katika Kituo cha Afya Mkoani, jana wakati alipofika kukabidhi Vifaa vya kutolea huduma za Afya vyenye thamani ya zaidi ya Sh.milioni 400. (Picha na Muhidin Sufiani)
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi wa mji wa Kibaha baada ya hafla hiyo. 
 
NAIBU Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala, akiagana na baadhi ya wanachi waliohudhuria hafla hiyo.