Featured Post

MISA-TAN YAWANOA WANAHABARI KANDA YA KASKAZINI JUU YA SHERIA MPYA YA HUDUMA ZA HABARI

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Ltd,Jesse Kwayu akiwaongoza washiriki wa warsha inayotolewa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN) juu ya changamoto zilizopo katika sheria mpya ya Huduma za Habari.

Baadhi ya Wanahabari kutoka mikoa ya Tanga,Arusha ,Manyara na Kilimanjaro wakishiriki katika warsha hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Impala jijini Arusha.
Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Luninga cha ITV mkoa wa Manyara,Charles Masanyika akichangia jambo wakati wa warsha hiyo.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara, Joseph Lyimo akichangia jambo katika warsha hiyo.
Wakili Msomi na Mwanahabari mwandamizi James Marenga akiwapitisha washiriki wa warsha hiyo katika vifungu mbalimbali vya sheria ya Huduma ya Habari.
Baadhi ya Washiriki.
Afisa Habari na Utafiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN) Sengiyumva Gasirigwa.
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki warsha hiyo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Comments