....

Featured Content Slider

..

..

Featured Post

KILIMO BORA CHA MIPAPAI

Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini Utangulizi: Mipapai ni moja ya miti ya matunda inayolimwa ulimwenguni kote na hapa Tanzania, ...

Thursday, March 23, 2017

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA STANDARD CHARTERED KANDA YA AFRIKA NA MASHARIKI YA KATI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati  Bw. Sunil Kaushal ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. Makamu wa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja  na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati  Bw. Sunil Kaushal pamoja na ujumbe wake uliomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Newsletter

Services