....

Featured Content Slider

..

..

Featured Post

KILIMO BORA CHA MIPAPAI

Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini Utangulizi: Mipapai ni moja ya miti ya matunda inayolimwa ulimwenguni kote na hapa Tanzania, ...

Thursday, February 23, 2017

MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE, JANETH MBENE AMTEMBELEA NAIBU WAZIRI MASAUNI, OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAMNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe, Janeth Mbene, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ileje, mkoani Songwe Janeth Mbene, wakati Mbunge huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Newsletter

Services