VIDEO – THE MIGTHY ELEPHANT WAITOA MAJI MAJI FA CAP KWA 5 – 4,WAMTESA MCAMEROON WA MAJI MAJI KWA PENATI

Timu ya Maji Maji imetolewa katika mashindano ya kombe la shirikisho la azam na THE MIGHTY ELEPHANT kwa penati 5 kwa 4.Tizama vijana wa The Migthy Elephant walivyomtesa golikipa wa Maji Maji ambaye ni mCameroon .

 

KAMA ULIPITWA NA HII,TUMEKUSOGEZEA HIGHLIGHTS ZA MCHEZO WA MAJIMAJI VS YANGA KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA UWANJA WA MAJI MAJI SONGEA