Featured Post

HAWA NDIO MADAKTARI WA TANZANIA WALIOKIMBILIA BOTSWANA NA NAMIBIA



Na Daniel Mbega
SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli imewaahidi Watanzania kuboresha sekta ya afya. Hili ni jambo jema.
Imeahidi kujenga hospitali za wilaya, mikoa na hospitali za rufaa pamoja na kutekeleza Sera ya Afya inayosisitiza kwamba kila kijiji kiwe na zahanati na kkila kata iwe na kituo cha afya ili kusogeza karibu huduma za afya kwa jamii.

Licha ya kuahidi pia upatikanaji wa dawa, lakini bado haijazungumzia mikakati yake ya kuhakikisha wanakuwepo watumishi wa kutosha wa afya, hususan madaktari.
Katika kipindi cha takriban miaka 10 iliyopita Tanzania imeshuhudia wimbi la madaktari likitimka nchini kwenda katika mataifa mengine kusaka mishahara minono.
Hali hiyo inatokana na mazingira duni ya kufanyia kazi hapa nchini pamoja na mishaara midogo licha ya mzigo mkubwa wa kuhudumia wagonjwa wengi huku mamlaka husika zikishindwa kusikiliza kilio cha wataalamu hao wa tiba ambao wakati mwingine wanalazimika kugoma ili kuishinikiza serikali.
Tumeshuhudia mara kadhaa migomo hiyo ya madaktari ikileta athari kubwa kwa wananchi, ikiwemo vifo vya wagonjwa wasio na hatia, lakini badala ya kutatua matatizo yaliyopo, serikali imekuwa ikiwafukuza kazi na kuwasimamisha wengine kwa migomo hiyo.
Matokeo yake Tanzania sasa imekuwa miongoni mwa nchi tisa zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zinapoteza mabilioni ya fedha kuwasomesha madaktari, lakini baadaye wanatimikia nje kusaka maisha mazuri.
Uamuzi wa kufukuza kazi au kuwasimamisha madaktari haujaleta nafuu kwa taifa, badala yake umeleta hasara kubwa huku ukizinufaisha nchi kama Botswana, Namibia na Zambia, ambako inaelezwa kwamba maslahi ni mazuri zaidi na ndiko wataalamu wetu wanakokimbilia.
Utafiti uliofanywa na Edward Millas wa Taasisi ya Global Health ya Chuo Kikuu cha Ottawa, unaonyesha kwamba Tanzania ni moja kati ya nchi tisa za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zinapoteza mabilioni ya fedha kwa kuwasomesha madaktari lakini wanatimka kwenda nchi nyingine.
Mbali ya Tanzania, nchi nyingine zinazoathirika na kuondoka kwa madaktari wake ni Ethiopia, Kenya, Malawi, Nigeria, Afrika Kusini, Uganda, Zambia na Zimbabwe.
Kwa mujibu wa utafiti huo, Afrika Kusini na Zimbabwe ndizo zinazoongoza kupoteza fedha nyingi kusomesha madaktari hao, ambao hatimaye wanatimkia nje, huku Australia, Canada, Uingereza na Marekani zikinufaika zaidi kwa kuwaajiri madaktari hao.
Utafiti huo unaeleza takwimu za namna nchi husika zinavyotumia fedha kuwasomesha madaktari na jinsi nchi nyingine zinavyookoa fedha hizo kwa kuwaajiri madaktari hao badala ya kuwasomesha wao.
Matokeo ya utafiti huo yanaonyesha kwamba, serikali katika nchi hizo zinatumia kati ya Dola za Marekani 21,000 (kwa nchi ya Uganda) hadi Dola 59,000 (Afrika Kusini) kumsomesha daktari mmoja, ambapo kwa nchi tisa zilizofanyiwa utafiti, inaonekana zilitumia kiasi cha Dola 2 bilioni (takriban Sh 4.4 trilioni) kuwasomesha madaktari wao na hazikuweza kuwatumia.
Lakini Uingereza inaokoa karibu Dola 2.7 bilioni (Sh 6 trilioni) huku Marekani ikiokoa Dola 846 milioni (Sh 1.9 bilioni) kwa kutowasomesha madaktari wake na kuajiri wale kutoka nchi zinazoendelea.
Itakumbukwa kwamba, mara baada ya mgomo wa Januari na Juni 2012, madaktari 80, wakiwemo madaktari bingwa, kati ya 200 waliofukuzwa kazi kutokana na kushiriki mgomo waliondoka nchini kwenda Kusini mwa Afrika kati ya mwezi Januari na Juni.
Hata hivyo, kuondoka kwa madaktari hao ambao wanatafuta maslahi zaidi, kunaelezwa kumechangiwa na uzembe wa Serikali katika kutatua kero na kuboresha maslahi yao kwa miaka mingi sasa.
Taarifa zinasema, madaktari wengi wanakimbilia Botswana kwa sababu nchi hiyo inawalipa vizuri zaidi, sambamba na walimu, na kwamba ndiyo inayoongoza kwa kuwa na madaktari wengi kutoka Tanzania pamoja na wataalam wa fani nyinginezo, hasa za uhandisi.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani za mwaka 2006, zinaonyesha kuwa, uwiano wa daktari na wagonjwa kwa nchi ya Botswana ni 1: 2,500, wakati ambapo Tanzania, ambayo inaendelea kuwapoteza madaktari kila siku, uwiano wake ulikuwa 1: 50,000.
Baada ya mgomo wa Juni 23, 2012 Serikali ilitangaza kuwafukuza kazi madaktari zaidi ya 200 waliodaiwa kushiriki mgomo kutoka Hospitali ya Rufaa Mbeya, Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Hospitali ya Rufaa Bugando na Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Hata hivyo, wengi kati ya waliofukuzwa ni wale ambao walikuwa mafunzoni (interns), huku madaktari bingwa wakisimamishwa kazi kwa muda usiojulikana, hali ambayo iliwafanya wengi wao kutafuta ajira nje ya nchi.
Januari 2012, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ulitangaza kuwafukuza kazi madaktari 229 waliokuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo kutokana na mgomo wa siku nne wakishinikiza kulipwa posho zao za mwezi mmoja, takriban Shs. 176 milioni.
Kuondoka kwa madaktari hao na watumishi wa afya kutoka katika nchi zinazoendelea kama Tanzania kukichangiwa na migomo kunazorotesha mfumo mzima wa afya, hivyo kuwa tishio katika kufikia Malengo ya Endelevu ya Dunia.
Mwaka 2010, Jukwaa la Afya la Dunia (World Health Assembly) liliridhia azimio la kwanza la kimataifa katika kuajiri wataalam wa afya kwa kutambua matatizo yanayosababishwa na kuhama kwa madaktari kutoka nchi maskini kwenda nchi tajiri, ambazo hatimaye ndizo zinazotoa misaada katika sekta ya afya.
Azimio hilo ni muhimu kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara lenye uhaba mkubwa wa watendaji katika sekta hiyo, lakini wachunguzi wa mambo wanasema, kitendo cha serikali kupuuza madai ya madaktari na kusababisha migomo kinarudisha nyuma azma ya kutatua matatizo hayo.
Pengine ni wakati muafaka sasa kwa serikali kuboresha mazingira ya kufanyia kazi pamoja na maslahi ya watumishi wa sekta ya afya, ambayo siyo tu yatawavutia wataalamu walioko nchini kufanya kazi, bali pia kuwavutia wale waliotimka kurejea na kuwahudumia Watanzania wenzao.

0656-331974

Hii ni orodha ya baadhi yao wakiomba ajira huko nje.

BOTSWANA

1. Dr Ahmad Mohamed Makuwani

I wish to apply to work in Botswana for a post of gyn-obs.

Curriculum Vitae
Personal identity
Surname: Makuwani
First name: Ahmad
Middle name: Mohamed
Tribe: Yao
Place of birth: Nanyumbu Masasi.
Country of origin: Tanzanian
Address: P.O. Box 65208 Dar Es salaam, Tel +255 741 418 588
Email: amakuwani@yahoo.com or amakuwani@muchs.ac.tz.
Sex: male
Date of birth: November 16th, 1964.
Marital status: Married.
Number of children: Two sons
Professional: Doctor of medicine, Gynecologist/Obstetrician.

Educational background
2000 – 3: University of Dar Es Salaam. Master of Medicine in Obstetrics ad Gynaecology.
Awarded: Master of Medicine in Obstetrics and Gynaecology and Final year best Student.
Awarded: Best student certificate in the final year.
1990 – 5: University of Dar Es Salaam, Doctor of Medicine degree course.
Awarded: Degree, Doctor of Medicine.
1985 – 7: Mazengo Secondary School, Tanzania. Advanced Level Secondary Education.
1981 – 4: Kibiti Secondary School, Tanzania. Ordinary Level Secondary Education.
1974-80: Mangaka Primary School, Masasi Tanzania.

Working experience
October 2003: VVF repair CCBRT, Tanzania.
2000 – 2003: Resident Muhimbili National Hospital
1997 – 2000: Medical Officer, St. Benedictines Hospital Ndanda, Mtwara Tanzania.Fulltime work in gynaecological/obstetrics wing
Fulltime work in Operative department; doing general surgery, Orthopaedic Operations and Obstetrics/Gynaecological operations including VVF repair.
1995 – 1997: Internship programme, Bugando Medical Centre, Mwanza Tanzania.

Seminars and Conference attended
1. February 1993: Conference on student’s right, academic freedom and the role of the Government.
2. Sept 1995: Seminar on Southern Tanzania culture and development.
3. July 1999: 2-weeks Seminar in Hospital Management for Doctors.
4. October 2003: Paper presentation; Puerperal sepsis: predisposing factors, microbial agents and antimicrobial susceptibility pattern 2003. Annual Reproductive Health Meeting. AICC, Arusha.
5. October 2003: Paper presentation no. 24; Puerperal sepsis indicator of poor Obstetric management in Tanzania, a lesson from Muhimbili National Hospital. M.A.T. 38th Annual General Meeting and Scientific Conference. Dar Es salaam Pp 18.
6. March 2004: Two days workshop (10th and 11th march) on Safe Motherhood working group and launching of White Ribbons Alliance (WRA) in Tanzania, CourtYard Hotel, Dar es salaam Tanzania.
7. March 14th – 27th, 2004: MATCARE-Project. Running training on use of partography, resuscitation of a pregnant mother and use of magnesium sulphate in eclampsia among midwives at Ligula hospital, Mtwara, Tanzania.
8. March 29th – 31st, 2004: Scientific Conference on Improving Maternity Care: Concepts, Evidence and Local Adaptation. Maternity Care/AGOTA Conference. Courtyard Hotel, Dar Es salaam, Tanzania.
9. May 17th – 21st, 2004: Workshop in Obstetric fistulae repair.
10. June 7th – 13th, 2004: Project Manager. Facilitator in workshop to launch a Comprehensive Obstetric Care at Mkuranga District Hospital. Participants taught use of partography, obstetric emergency care, and organizing theatre services for obstetric interventions. On going project.
11. September 13TH- 17TH, 2004: Strengthening skilled care in African region; regional meeting for the review of midwifery standards and practice regulations. Johannesburg, SA.
12. April 18th – 30th, 2005: Facilitator in training to improve Maternity care, labour management, emergency obstetric care and data keeping in hospitals at Kasulu district-Kigoma. A project coordinated by MatCare project, Muhimbili University College of Health Sciences.

Research work/Paper presented
1. September 1999: Paper presentation at GDS professional meeting. Title of the paper; VVF will continue to cause misery in the coming century.
2. July – Jan 2003: Dissertation study. Puerperal sepsis: predisposing factors, microbial agents and antimicrobial susceptibility pattern among the patient admitted at Muhimbili National Hospital.
3. Sept 1992: Assessment of Protein – Energy Malnutrition among the under-fives in Handeni district (Second year Class activity, Medicine degree course epidemiological study).
4. October 2003: Presenting a paper on puerperal sepsis: predisposing factors, microbial agents and antimicrobial susceptibility pattern among patients admitted at Muhimbili National Hospital. Annual Reproductive Health Services, MOH, Tanzania. Arusha International Conference, Tanzania.
5. March 29th – 31st, 2004: presented a paper on puerperal sepsis: predisposing factors, microbial agents and antimicrobial susceptibility pattern among patients admitted at Muhimbili National hospital, Tanzania.
6. Puerperal sepsis indicator of Poor Obstetric Management in Tanzania. A study that addressed Puerperal sepsis: Predisposing factors, Microbial agents and antimicrobial susceptibility pattern among patients admitted at Muhimbili National Hospital. Tanzania Medical Journal Sept 2004; 18 (3): 30-6.

Leadership experience
1. 1992 – 5: University of Dar Es Salaam Class representative.
2. 1993–4: Dar Es Salaam University Students Association (DARUSO) – Muhimbili Campus secretary.
3. 1993 – 4: University of Dar Es Salaam student representative to Faculty Board meetings, Senate, Examination committee board and Council of University of Dar Es salaam.
4. 2004 – 200_: Project manager, Obstetric care at Mkuranga district.

2. Henry Swai

Sir/Madam,I am a 28 years old Tanzanian medical doctor, I have just completed my first degree from the University of Dar es Salaam, soon after completing my internship I would like to work in Botswana.
I will be very glad if you can help me get a job at a Government hospital.
Thanks in advance

3. Munawar Kaguta

Dear Sir,
Im a Tanzanian, completed medical school in 1996 in Turkey.
I comleted a 3 years residency program in obstetrics and gynacology at Muhimbili school of medicine in Dar es salaam Tanzania, in july 2005.
Im a registered doctor in the Tanzania medical association.
I would to work in Botswan anytime from now.
Thanks in advance looking forward to hearing from you soon.
Sincerely yours,
Dr Kaguta, M.

4. Julius Bourne Didas

hi, i am a Tanzanian medical doctor, a graduate of University of Dar es Salaam and completed one year internship at Muhimbili National Hospital. I am currently working at Agha-Khan Hospital Tanzania. am seeking for job as general practitioner in Botswana.
5. MILULU MWERANGI

Hellow there!!!!!
am the medical laboratory technician completed my diploma at Muhimbili University College of Health Science (MUCHS)in Aug 2005,looking forward for job in Botswana in the mean time am working with Bagamoyo Research and training institute
+255 713 848454
thanx

6. Dr. Said R. Salim

Dear Sir/ madame
I wish to apply to work in Botswana for a post of Orthopedic Surgeon. I am a Tanzanian Orthopedic Surgeon currently working at Tanzania. I graduated from the University of Wuhan P.R.China in 2002 and awarded a masters degree in Orthopedics. In 1993 i was awarded my first degree Doctor of Medicine degree of the University of Vitebsk Bylorussia (CIS). Forwarded to hear more from your office.

7. Dr. Josephat Mponji

I am 31 years of age and at the final stages of general surgery training at Dar es salaam University in Tanzania. I love working as a surgeon in BOTSWANA. Please let me informed when such a position occurs.thanks

8. Edna

hi, i am final year dental student in tanzania would like to do my internship in botswana please anyone with idea contact me.
thanks

9. OPTATUS MALEO

Dear Sir/Madam
I am a gradute from Makerere University who graduated three years back. Currently I am working at Kilimanjaro Christian Medical Centre as the Incharge Microbiology Department and also as the lecturer of Medical students, student undertaking Bsc in medical laboratory technology and diploma students.
I have written tree publicatins; Laboratory Safety Manual, Prevalency of Asymptomatic Malaria in Pregnant mothers and Different techniques and Technologies used in Medical laboratory. Iam also the Safety Officer of K.C.M.C Hospital, Moshi Tanzania, East Africa. I feel iashould work in Botswana. So please in case you are in need of somebody if sucha post contact me from my email above.
I hope to hear from you.
THANX

10. Dr. Emilian Michael

I am a Tanzanian male doctor, 36 years of age, with 6 years experience in general medicines and occupational medicines, having worked in government and private hospitals in rural and town.
I will be happy if I will get a chance to work in Botswana.

11. Dr. Dinesh Sharma

respected sir, I want to persive job in botswana. I have completed my M.B.B.S. from Dar-es-salaam, Tanzania in year 2007. Also done my 1 year intership in K.C.M.C (KILIMANJARO CHRISTIAN MEDICAL CENTER), Moshi, Tanzania. At present i m in INDIA. Please do reply if you think i m sutable for doctors post. THANKS

12. Dr. Paul Mutani Mwanagindu

"Medical Doctor(General Practitioner)"
AM A TANZANIAN MAN AGED 27 YEARS OLD, AND HOPING TO COMPLETE MY INTERNSHIP IN TANZANIA IN AUGUST 14TH 2010 AS A MEDICAL OFFICER. CURRENTLY LOOKING FORWARD TO WORK AS A MADICAL OFFICER IN BOTSWANA.
MY NAMES AND EMAIL ADDRESS ARE AS ADDRESSED ABOVE.
MY CV AND OTHER DOCUMENTS REQUIRED WILL BE SUBMITTED.
HOPING TO HEAR FROM YOU SOON.
THANKS.


11. DR SALVATORY LEUNCE NTUBIKA

"DERMATOVENEREOLOGIST"
I am Dermatovenereologist aged 38 years trained in Uganda and Germany, I am a tanzanian by nationality and I live in Tanzania now working in both Government and private hospitals. I have experience in lecturing, research, patients managementand adminstration. I have been working in care and treatment for HIV&AIDS CLINICS with strong skills in management of this disease. My CV will be submitted as soon as needed as I have interest of working in Botswana.

12. Alvin

"seeking employment"
Hi..
Im a Tanzanian based dr. currently working at MNH. Holder of an MD-honors degree. Excelent medical skills and career driven family person. Seeking for a job in Bots or SA as a regestrar(House officer) in Neurosurgery or emergency medecine.
in anticipation..

13. Hassan Saad

"Assistant Medical Officer"
Am a male, 38 years old from Tanzania with long experienced from goverment hospitals.Hold Advanced Diploma in Clinical Medicine, working as a General Medical Practitioner regestered with Tanganyika Medical Board.I look forwad to hearing from you.

14. Elicious

am a graduate from tanzania. i would like to apply for a work permit in botswana. So can anyone tell me the procedure to apply and notify me any employment opportunies.. i have done bachelor degree in management of socaial development. my mail is eliapendamziray@gmail.com


NAMIBIA

1. Vishnu Cynwell Mahamba

I am a Tanzanian medical doctor (general practitioner),looking for a jod in Namibia,with special interests in HIV/AIDS and PHC.
email: vmahamba@http://hotmail.com
Phone: +255741785730

2. Julius Bourne Didas

I am a Tanzania Medical Doctor seeking a job in Namibia. I have just finished my internship at Muhimbili National Hospital and currently working as general medical practitioner at Agha Khan Hospital Tanzania. My contact email address is julius_ssd@yahoo.co.uk

3. Dr. Mebratu Ketema

I am a dermatologist working in RDTC in tanzaina and I am seeking a job in Nambia as consltant dermatologist

4. Lawrence

hi ive just finished my undergraduate degree in tanzania id like to request anyone with information on how i can apply to do my internship in namibia youre help will be highly appreciated thanks in advance

5. Dr Juma

Hi.
Iam Tanzanian Medical Doctor, public Health officer experienced in Clinical trials and community Health, Immunization and vaccinology. I am looking for contract job in Namibia.
Thanks

6. Muze Alick

I am a Tanzanian, graduated as a medical doctor 2 years ago, wish to work as general practitioner in Namibia.
Any additional information will be furnished upon request.



Comments