Featured Post

MATUNZO MUHIMU NA ULISHAJI WA SUNGURA WAKO



Na Daniel Mbega
KAMA mnyama yeyote sungura wanahitaji utunzaji mwema ili waweze kuzalisha kwa wingi.
Wanahitaji kujengewa chumba maalum (tumeona katika ujenzi wa mabanda bora) na kuangaliwa kila siku na kuhakikisha usafi wa vyumba hivi.
Na kama watoto wa binadamu, pia sungura wanahitaji kupewa chakula kisafi cha hali ya juu kilicho na madini ya protini na kalsiamu na pia kupewa maji safi.
PATA MWONGOZO UTAKAOKUSAIDIA KATIKA UFUGAJI NA JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI YAKIWEMO MAGONJWA.
WASILIANA NA DANIEL MBEGA KWA SIMU HII +255 656 331974 ILI UPATE NAKALA YAKO SASA KWA GHARAMA NAFUU KABISA YA SHS. 20,000/= TU!! … FUATA LINK HII UPATE MAELEZO ZAIDI.


Comments