Featured Post

PROFFESA MAJI MAREFU AMWAGA MADAWATI JIMBONI MWAKE

 Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Robet Gabriel kushoto akipokea madawati 200 kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu jana ambapo madawati hayo yalitolewa kupitia fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukabiliana na upungufu wa madawati kwa shule za msingi wilayani Korogwe.
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngony'ani alimaarufu Proffesa Maji Marefu kulia kushoto ni Diwani wa Kata ya Kerenge wilayani Korogwe wakiwa wamebeba moja kati ya madawati 200 ambayo yalikabidhiwa leo na mbunge huyo kupitia Fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya shule za msingi wilayani Korogwe jana,Picha na
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM),Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kutoa madawati
  Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM),Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wa kwanza kushoto akizungumza na Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga,Robert Gabriel ofisini kwake kabla ya kumkabidhi madawati 200 leo
wanafunzi wa shule za msingi wilayani Korogwe wakiwa wamekaa kwenye madawati 200 yaliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Proffesa Maji Marefu kupitia Mfuko wa Jimbo.



Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Proffesa Maji Marefu kupitia Mfuko wa Jimbo katikati akiwa amekaa kwenye madawati 200 aliyoyakabidhi leo kwa shule za msingi wilayani humo kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Robert Gabriel kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe,Abeid Mohamed
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Comments