- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald
Kusaya, akiangalia zao la pamba wilayani Chato huku akiwa na Mbunge wa Jimbo
hilo, ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani.
Kilimo cha Umwagiliaji ndicho mkombozi mkubwa wa uchumi, kwa sababu ni cha uhakika.
Na Daniel Mbega, Dar es Salaam
TAKRIBAN Sh13,819,077,626,470 (sawa na Dola za Marekani
5,979,000,000) zilizotengwa na Serikali kwa ajili ya awamu ya pili ya Mpango wa
Kuendeleza Sekta ya Kilimo (ASDP II) zimesaidia kukuza uchumi na kuifanya
Tanzania siyo tu kujitosheleza kwachakula, bali kulisha viwanda vya ndani kwa
kuzalisha malighafi za kutosha.
Comments
Post a Comment