- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI KATIKA MTO RUFIJI UTAKAOZALISHA UMEME MEGAWATI 2,115
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker, Waziri wa Nishati Medard Kalemani pamoja na viongozi wengine akisikiliza namna mradi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115 katika eneo la mto Rufiji utakavyokuwa ukifanya kazi mara baada ya kukamilika.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker
wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha
umeme Megawati 2115 katika eneo la mto Rufiji katikati ya Morogoro na Pwani.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker mara baada ya kuweka Jiwe la
Msingi mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115 katika eneo la mto
Rufiji katikati ya Morogoro na Pwani.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
pamoja na viongozi wengine mara baada ya tukio hilo la uwekaji wa Jiwe la
Msingi.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
michoro ya ujenzi huo mkubwa wa kufua umeme.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Kuzalisha umeme Megawati
2,115 katika eneo la mto Rufiji.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker wakati wakielekea kwenda
kuweka jiwe hilo la msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo
itakayotumika katika mradi huo mkubwa wa kufua umeme.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia eneo la bonde katika mto Rufiji mara baada ya kuweka jiwe la msingi
la mradi huo wa umeme.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika eneo la Mradi.
Eneo
la mto Rufiji ambalo litatumika katika ujenzi huo wa kufua umeme kama
linavyoonekana. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment