- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM KWA TRENI YA TAZARA AKITOKEA KWENYE SHEREHE ZA UWEKAJI JIWE LA MSINGI MRADI MKUBWA WA UMEME WA MW 2,115 RUFIJI
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana
na dereva wa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji
katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro Ijumaa Julai. 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa TAZARA alipowasili stesheni ya Dar es salaam
baada ya kwenda na kurudi kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi
wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro
Ijumaa Julai. 26, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wananchi katika stesheni ia Kisaki
wakati akiondoka kwa treni ya TAZARA iliyomchukua kwenda na kurudi kwenye
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa kuzalisha umeme MW 2,115 wa
Rufiji katikati ya mkoa wa Pwani na Morogoro Ijumaa Julai. 26, 2019.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment