- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti , Mhe. Goerge Simbachawene akiongoza Kikao cha Kamati hiyo kilichokutana leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mashimba Ndaki. Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018.
Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. George Simbachawene ikiwa katika kikao cha Kamati leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua Muswada wa Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018
Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiongozwa na
Mwenyekiti wake Mhe. George Simbachawene ikiwa katika kikao cha Kamati leo
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Kamati hiyo ilikuwa ikipitia na kuchambua
Muswada wa Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi wa mwaka 2018
Comments
Post a Comment