- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (,kushoto) na Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro Rodriguez wakifungua pazia kuashiria Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar ambapo mpango huo utafanikisha maendeleo kwa wananchi wa Zanzibar,[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.

Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi na Mratibu
wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro
Rodriguez alipowasili katika viwanja vya
Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar leo katika hafla
ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar katika kuleta maendeleo mbali mbali
ya Kijamii,(katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohamed
Mahmoud,[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakati
Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar
akiwepo na Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN)
Bw.Alvaro Rodriguez (wa tatu
kushoto),[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zana za Kazi
Bibi.Mwanaisha Makame (Topu) (wa pili kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa
PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi
Mmoja mjini Zanzibar (katikati)
Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Alvaro Rodriguez. [Picha na Ikulu.] 28
Aug 2018.
Baadhi ya Mawaziri wa Wizara mbali mbali
katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wawakilishi wa Mashirika ya Umoja wa
Mataifa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini
Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Baadhi ya Wawakilishi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini
Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Wananchi na Wawakilishi wa Mashirika ya
Umoja wa Mataifa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini
Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.

Comments
Post a Comment