Featured Post

RAIS KENYATTA AWAPA KAZI VIJANA WA MTAANI KUWAKAMATA TRAFIKI WANAOPOKEA ...


Rais Uhuru Kenyata wa Kenya amewapa kazi vijana wa mtaani watakapo muona Traffic akipokea mlungula au Rushwa wamkamate na wampeleke Kekukuru ya Kenya kama vile kwetu Takukuru.

Aidha, Rais Uhuru amesema Polisi wamezidi sana kujiona wako juu ya sheria kwa hiyo ameamua kuwapa malaka RAIA wawakamate na kuwafikisha Kekukuru.
"Watanzania na sisi tunaomba Mheshimiwa Magufuli aturuhusu tufanye kazi hiyo nchi ni ya wananchi siyo ya Polisi hawezekani tuishi  kwa hofu wakati nchi ni yetu sote,,,,,,,, ili haki isimame tusionewe kila mara na kuombwa rushwa," wanasema baadhi ya wananchi.

Comments