Sehemu
ya wananchi Jijini Tanga wakiingia kwenye banda la NHIF kupata huduma
za upimaji wa afya zao na namna ya kujiunga na mfuko huo
Afisa Mdhibiti Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Dkt Lawi Kupaza kushoto akimpima presha mkazi wa Jiji la Tanga wakati alipotembelea banda lao
Comments
Post a Comment