- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-ZANZIBAR- RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment