Makamu Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolijia cha Nelson Mandela mkoa wa Arusha,Profesa Kalori Njau (kushoto) akitoa maelezo ya shughuli za kitaaluma katika Chuo chake kwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Kenya na Maendeleo ya Ukanda wa Kaskazini,Peter Munya(katikati) ,Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Uganda,Dk Kirunda Kivejinja na viongozi wengine. |
Comments
Post a Comment