- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa halmashauri za Tarime mkoa wa Mara
wakati wa ziara yake mkoa wa Mara.
Baadhi ya watumishi wa halamashauri ya Tarime
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina
Mabula.
Baadhi ya Maofisa wa Wizara ya Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi kutoka Kanda ya Ziwa, Wizarani whauri ya Tarime na Naibu
Waziri Angelina Mabula.
Baadhi ya watumishi wa halmashauri wakiwa katika
mkutano.
Mkuu wa wilaya ya Tarime Grorious Luoga
akizungumza wakati wa mkutano kati ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo
ya Makazi Angelina Mabula na watumishi wa halmashauri ya Tarime.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Angelina Mabula akieleza namna bora ya kuhifadhi majalada ya hati za ardhi
katika halmashauri ya Tarime mkoa wa Mara wakati za ziara yake mkoani humo.
Baadhi ya watumishi wakiwa katika kikao.(PICHA ZOTE
NA WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI-WANMM)
Comments
Post a Comment