- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Sehemu ya wakulima wa chai wakimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo, Dk. Mary Mwanjelwa alipozungumza nao. |
|
NAIBU Waziri wa Kilimo, Dk Mary Mwanjelwa akiongea na wakulima wa chai alipotembelea kijiji cha Lwangu Mkoa wa Njombe hivi karibuni.
|
Sehemu ya wakulima wa chai wakimpongeza Naibu Waziri wa Kilimo, Dk. Mary Mwanjelwa alipofanya nao mazungumzo wakati wa ziara yake kwa wakulima hao. |
Wakulima wa viazi mviringo (Irish potatoes) kwenye kijiji cha Lusitu, Wilaya ya Njombe mkoani Njombe, wakimpokea kwa furaha Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa. |
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Dk. Mary Mwanjelwa akiwasabahi wakulima wa viazi mviringo (Irish potatoes) kwenye kijiji cha Lusitu, Wilaya ya Njombe mkoani Njombe alifanya ziara mkoani humo. |
Comments
Post a Comment