- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASILI UGANDA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI KATIKA IKULU YA ENTEBE
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa
Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni kabla
ya kuanza mazungumzo yao katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na ujumbe wake katika Mazungumzo na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri
Museveni katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akisaini Kitaabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya
Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya
mazungumzo yao katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Entebe nchini Uganda ambapo pamoja
na mambo mengine atahudhuria vikao vya Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki vitakavyoanza kesho jijini Kampala nchini Uganda.
Kikundi cha ngoma za Asili cha Masters of ground kutoka Wilaya cha
Kyotera, Masaka nchini Uganda wakitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Entebe nchini Uganda. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment