- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA KAMPALA NCHINI UGANDA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza mazungumzo yao jijini Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta mara baada ya kupiga picha ya pamoja na Mawaziri pande zote
mbili za Kenya na Tanzania mara baada ya kikao chao Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kikao
chake na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi ajambo na Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Kampala jijini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Sudan
Kusini Salva Kiir kabla ya mazungumzo yao jijini Kampala.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais
wa Sudan Kusini Salva Kiir Kampala Uganda-PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment