- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ULIOMALIZIKA LEO JIJINI KAMPALA NCHINI UGANDA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
EAC Rais wa Uganda Yoweri Museveni pamoja na viongozi wengine wa Jumuiya hiyo
katika siku ya mwisho ya Kikao chao kilichofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatoka katika ukumbi wa mkutano pamoja
na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kumalizika kwa vikao vya Wakuu wa
nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC vilivyofanyika Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki EAC Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na viongozi wengine wa Jumuiya hiyo
wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa
EAC katika siku ya mwisho jijini Kampala nchini Uganda. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment