Featured Post

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BURUNDI PIA AKUTANA NA MRATIBU WA MAZUNGUMZO YA AMANI YA BURUNDI RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA KAMPALA UGANDA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa ambaye ni mratibu wa Mazungumzo ya amani ya Burundi, Kampala nchini Uganda. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mratibu wa mazungumzo ya amani ya Burundi Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa, Kampala nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Burundi Gaston Sindimwo kabla ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Burundi Gaston Sindimwo, Kampala nchini Uganda. 

Makamu wa Rais wa Burundi Gaston Sindimwo akizungumza mara baada ya kikao chake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kampala nchini Uganda. PICHA NA IKULU

Comments