- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano na Waandishi wa
Habari(hawapo pichani), ambapo alitangaza kuanza rasmi kwa zoezi la ukaguzi wa
magari binafsi mwanzoni mwa mwezi ujao.Wengine ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini, SACP Fortunatus Musilimu na Mjumbe wa baraza hilo,Henry
Bantu(kushoto).Mkutano huo umefanyika leo katika ukumbi wa wizara, jijini Dar
es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, SACP Fortunatus Musilimu, akizungumza katika mkutano na Waandishi
wa Habari (hawapo pichani), ambapo ilitangazwa operesheni ya ukaguzi wa magari
binafsi unaotarajiwa kuanza mwezi machi mwanzoni.Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, Mkutano
huo umefanyika leo latika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mjumbe
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Henry Bantu, akizungumza katika
mkutano na Waandishi wa Habari (hawapo pichani), ambapo ilitangazwa operesheni
ya ukaguzi wa magari binafsi unaotarajiwa kuanza mwezi machi
mwanzoni.Katikati ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, SACP Fortunatus Musilimu(kulia). Mkutano huo umefanyika leo
latika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi
Mjumbe
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutoka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa
Nchi Kavu na Majini (SUMATRA),Geoffrey Silanda, akijibu baadhi ya maswali
yaliyoelekezwa kwake wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari(hawapo
pichani).Mkutano huo umefanyika leo latika ukumbi wa wizara, jijini Dar es
Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mmoja
wa Waandishi wa Habari akiuliza swali kuhusu magari mabovu yanayobeba wanafunzi
kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad
Masauni(hayupo pichani) wakati wa mkutano na waandishi uliofanyika leo katika
ukumbi wa wizara jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi
Comments
Post a Comment