- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mwenyekiti
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akizungumza wakati wa kikao cha
kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho
kimefanyika katika ukumbi wa wizara,
jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu
wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mkuu wa
Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu (kulia meza kuu), akizungumza
wakati wa kikao cha kujadili mikakati ya
kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mjumbe
kutoka Mamlaka
ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Geoffrey Silanda, akichangia
hoja wakati wa wakati wa kikao cha
kujadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani.Kikao hicho kimefanyika
katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.Wengine ni Mwakilishi kutoka
Wizara ya Elimu, Hidaya Mohamed na Mwakilishi kutoka Chama cha Wamiliki wa
Mabasi Tanzania(TABOA), Elimboto Mtatulu (kushoto). Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi
Wajumbe
wa kikao kinachojadili mikakati ya kupunguza tatizo la ajali za barabarani
kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(hayupo pichani), wakishiriki
kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa wizara, jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Comments
Post a Comment