- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu Waziri Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati akifungua Kikao
cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika
kutimiza majukumu ya wizara. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), na Naibu Katibu Balozi Hassan Simba Yahya (wanne
kulia), wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi
wa wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini
Dar es Salaam leo. Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya
kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara .Wengine ni viongozi wa Chama cha Wafanyakazi tawi la wizara hiyo. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi
Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Thobias Andengenye, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Dk. Anna Makakala na Kamishna wa
Magereza anayeshughulikia Utawala na
Fedha, Gaston Sanga wakiimba wimbo wa
mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila
idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimechofanyika katika
Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi wa Kitengo
cha Huduma kwa Jamii, Aloyce Musika,
akiongoza Wakuu wengine wa vitengo vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
kuimba wimbo wa mshikamano wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara
hiyo kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Jenerali wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akichangia hoja wakati wa Kikao
cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza
hilo ni kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu
ya wizara.Kikao hicho kimechofanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga,
jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna
Makakala na Kamishna wa Magereza
anayeshughulikia Utawala na Fedha,
Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la
Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza hilo ni
kujadili utendaji na maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya
wizara.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini
Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji,Thobias Andengenye(kushoto) na Kamishna wa Magereza
anayeshughulikia Utawala na Fedha,
Gaston Sanga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna wa Magereza
anayeshughulikia Utawala na Fedha,
Gaston Sanga, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lengo la baraza hilo ni kujadili utendaji na
maendeleo ya kila idara katika kutimiza majukumu ya wizara.Kikao hicho kimefanyika
katika Ukumbi wa Maafisa Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) na Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi
Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar,
Johari Masoud Sururu, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kilichofanyika katika Ukumbi wa Maafisa
Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi
IMEANDALIWA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Comments
Post a Comment