- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea hundi ya
shilingi milioni 178,488,00/- kutoka kwa Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke
kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Nkoma
iliyopo Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Balozi wa China
nchini Mhe. Wang Ke akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Vyerehani 50 kwa ajili halmashauri ya mji wa
Bariadi ili kuanzisha Kiwanda cha Ushonaji. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Comments
Post a Comment