Featured Post

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI MASWA

Makamu wa Rais akimsabahi Mtoto Mchanga pamoja na Mama yake Bi. Mariam Patrik mkazi wa Nyashimba ambaye amejifungua katika wodi ya wazazi ya hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma maneno yalioandikwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya kufungua jengo la upasuaji kwenye hospitali ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Simiyu mara baada ya kufungua jengo la Upasuaji lililopewa jina la Samia Suluhu Hassan Operating Theatre. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya wilaya ya Maswa mara baada ya kufungua jengo la upasuaji. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Comments